Dodoma Jiji FC vs Azam FC ni Machi 11, 2026, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, saa 1:15 usiku.
Azam FC imetoka kucheza mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya Mbeya Kwanza, Uwanja wa Azam Complex.
Mechi zijazo kwa Dodoma Jiji FC
Aprili 3,2026 ni Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate FC
Aprili 14,2026 ni Coastal Union vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Aprili 16,2026 ni Mtibwa Sugar vs Dodoma Jiji FC, Jamhuri, Dodoma.
Viingilio mchezo wa Dodoma Jiji FC vs Azam FC
Jukwaa kuu ni 5,000
Mzunguko ni 3,000
Dodoma Jiji FC 2-0 African Sports ni matokeo yaliyopita kwenye mchezo wa CRDB Federation Cup uliochezwa Machi 6,2026. Imetinga hatua ya 16 bora na itakutana na Simba SC katika hatua inayofuata.
Azam FC imetoka kushinda kwa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza mchezo wa CRDB Federation Cup mfungaji akiwa ni Idd Nado.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.