Tanzania Prisons vs Yanga SC kupigwa Tabora?

Tanzania Prisons vs Yanga SC kupigwa Tabora? Ni swali ambalo linaulizwa ni baada ya wenyeji kubainisha kuwa watakuwa Tabora kwenye mechi zinazofuata. Wapinzani hawa wawili wanatarajiwa kukutana Machi 12,2026 kwenye msako wa pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba Prisons wamekuwa wakitumia Uwanja wa Sokoine kwa mechi za nyumbani uliopo Mbeya kutokana na…

Read More

Fainali ya Kombe Brazil Yageuka Vurugu: Wachezaji 23 Watolewa kwa Kadi Nyekundu, Hulk Apigwa Teke la Kuruka

Fainali ya mashindano ya soka nchini Brazil imeingia kwenye historia kwa sababu zisizofurahisha baada ya kuzuka kwa vurugu kubwa uwanjani zilizofanya wachezaji 23 kupewa kadi nyekundu idadi kubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia ya soka la nchi hiyo. Tukio hilo lilitokea katika fainali ya Mashindano ya Mineiro iliyochezwa kati ya Cruzeiro na Atlético Mineiro katika…

Read More