
SIMBA YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA AFRIKA
TIMU ya Simba imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi Mabingwa Afrika baada ya kufungwa Jwaneng Galaxy kwa mabao 3-1, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Simba ambayo ilianza vema kipindi cha kwanza ilienda mapunziko ikiwa mbele kwa bao 1-0 goli la Larry Bwalya, lakini Galaxy waligeuza kibao kupachika magoli 3. Matokeo…