
NABI ATAKA REKODI HII YANGA
KOCHA wa Yanga, Nasrredine Mohamed Nabi, amefunguka kuwa anahitaji timu yake iwe na uwezo mkubwa zaidi wa kumiliki mpira na kuwa na rekodi ya kupiga pasi nyingi kwenye kila mechi. Nabi alisema soka la kisasa limebadilika sana kwa sababu timu yenye uwezo wa kumiliki mpira muda mrefu na kupiga pasi nyingi ndiyo huwa na nafasi ya kushinda mchezo kwa sababu wachezaji wanaongeza kujiamini. Nabi amesema timu yake imekuwa na…