
SIMBA WATAJA SIKU YA KUMPOKEA CHAMA
UONGOZI wa Simba SC, umepanga kumtambulisha Clatous Chama siku ya mwisho kabla ya usajili wa dirisha dogo haujafungwa Januari 15, mwaka huu. Chama ambaye aliitumikia Simba kwa misimu mitatu, aliondoka kikosini hapo mwishoni mwa msimu wa2020/21 na kutimkia RS Berkane ya Morocco. Kwa muda mrefu, kumekuwa na tetesi za Simba kuhitaji kumrudisha kundini kiungo huyo…