
ISHU YA JOB KUROGWA YANGA IPO HIVI
KATI ya mkoa ambao umebarikiwa vipaji vya soka basi ni Morogoro uliozalisha vipaji vingi katika Ligi Kuu Bara ndani ya misimu mitano mfululizo. Kati ya wachezaji waliozalishwa na kuwa gumzo kwa misimu ya karibuni ni Kibwana Shomari, Dickson Job, Mzamiru Yassin, Shiza Kichuya, Hassani Kessy, Aishi Manula na wengine wengi. Kati ya hao, wachezaji ambao…