
PABLO:HATUKUPOTEZA MUDA KWA MKAPA
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa walicheza mpira mbele ya Yanga na hawakutumia muda mwingi kupoteza muda kwa kujiangusha ama kulala uwanjani. Ilikuwa ni dabi ya kwanza kwa Franco, Desemba 11, Uwanja wa Mkapa na aliweza kugawana pointi mojamoja na watani zake wa jadi baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa…