
MKWANJA WAWEKWA WA KUTOSHA KWA SIMBA KISA YANGA
SIMBA inatajwa kutangaza bonasi ya Sh 1Bil kuwapa wachezaji wao kama wakifanikiwa kuwafunga watani wao, Yanga katika Kariakoo Dabi. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu mabosi wa Yanga watangaze bonasi ya Sh 1Bil kama wakifanikiwa kuwafunga Simba katika dabi hiyo inayotarajiwa kupigwa Jumamosi hii saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Taarifa zimeeleza kuwa Wadhamini wa timu…