
Dnata KUAJIRI WAFANYAKAZI 400,INAFIKA MPAKA ZANZIBAR
Dnata, kampuni inayotoa huduma za usafiri wa anga na usafirishaji, inatarajia kuajiri zaidi ya wafanyakazi 400 mwezi ujao huko Zanzibar. Zanzibar ni sehemu yenye utulivu mkubwa na amani na upendo ni sera ya kiongozi, Rais Dr. Hussein Ali Mwinyi. Kampuni hiyo inayofanya kazi zake katika nchi zaidi ya 30, hivi karibuni ilitangaza kuwekeza dola milioni…