
WAAMUZI NI PASUA KICHWA,WACHEZAJI PIGENI KAZI
KIVUMBI kinazidi kuwaka kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo kwa msimu huu mpya wa 2021/22 unaoyesha kwamba sio wa kitoto. Wakati ligi ikizidi kuwa ni moto waamuzi wamekuwa ni pasua kichwa kwa kuonekana wakifanya maamuzi ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wengi jambo ambalo linaua ile ladha ya ushindani. Makosa yapo lakini haina maana…