
KIKOSI CHA YANGA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO
LEO Novemba 20, kikosi cha Yanga kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kikosi kinatarajiwa kuanza kusaka pointi tatu muhimu, hiki hapa kikosi ambacho kinaweza kikaanza:- Djigui Diarra Abdalah Shaibu Kibwana Shomari Dickson Job Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala…