
KAZI CHAFU KWA MAKIPA ZINAFANYWA NA MAKAKA
MOHAMED Makaka kipa namba moja wa Ruvu Shooting anaingia kwenye orodha ya makipa wa kazi chafu kutokana na uwezo wake wa kuokoa mashuti yasiweze kuingia kwenye lango lake. Mastaa wa Simba wakiongozwa na Meddie Kagere bado watakuwa wanajua balaa la mikono yake licha ya Simba kushinda kwa mabao 3-1 bado Makaka alikuwa mhimihili kwa timu…