
GOMES:BANDA ANAHITAJI MUDA NDANI YA SIMBA
DIDIER Gomes ambaye aliamua kuondoka ndani ya kikosi cha Simba baada ya kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Jwaneng Galaxy Uwanja wa Mkapa amesema kuwa Peter Banda anahitaji muda. Gomes alikuwa ni Kocha Mkuu wa Simba na mafanikio yake makubwa ni kuipeleka Simba hatua ya robo fainali, alikwama kufanya vizuri kwa msimu wa 2021/22 kwa kuwa…