
BIASHARA YA KASEKE MBELE YA BIASHARA UNITED ILIKUWA NAMNA HII
KIUNGO Deus Kaseke katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Biashara United alitumia dakika 8 akitokea benchi na alichukua nafasi ya Feisal Salum. Alipiga pasi 9 na alicheza faulo moja wakati Yanga ikishinda mabao 2-1 dhidi ya Biashara United Yanga imetinga hatua ya robo fainali inaungana na Azam FC iliyowatungua Baga Friends timu ngumu…