KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA ASEC MIMOSAS

LEO Februari 13 kikosi cha Simba kinartarajiwa kusaka ushindi dhidi ya ASEC Mimosas kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi.

Hiki hapa kikosi kitakachoanza:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Mohmaed Hussein

Joash Onyango

Henock Inonga

Jonas Mkude

Peter Banda

Sadio Kanoute

Meddie Kagere

Rally Bwalya

Sakho

Akiba

Ally

Israel

Gadiel

Wawa

Nyoni

Mzamiru

Bocco

Mhilu

Jimmyson