SportsBEKI YANGA AONGEZA DILI JIPYA Saleh4 years ago01 mins RASMI beki kisiki wa Yanga ambaye ni nahodha pia Bakari Nondo Mwamnyeto ameongeza kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mkataba wa nyota huyo ambaye aliibuka hapo akitokea kikosi cha Coastal Union ulikuwa unatarajiwa kufika tamati mwishoni mwa msimu wa 2021/22. Miongoni mwa timu ambazo zilikuwa zinatajwa kuwania saini yake ni pamoja na timu kutoka Uarabuni na nyingine ni za hapa Bongo. Hivyo kuongeza kwake dili kutawafanya mashabiki wa Yanga kuzidi kuona huduma ya beki huyo wa kazi chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Post navigation Previous: MKUDE AVURUGA MIPANGO YA PABLO SIMBANext: MO AMWAGA MAMILIONI SIMBA, MABOSI WA SIMBA WAINGIA CHIMBO
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh1 day ago 0