
GABON WAMEPENYA AFCON NA KUTINGA ROBO FAINALI
TIMU ya taifa ya Burkina Faso imekuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya robo fainali ya AFCON kwa kuiondosha timu ya taifa ya Gabon kwa changamoto ya mikwaju ya penati 7-6 Baada ya timu hizo kumaliza dakika 120 kwa sare ya kufungana 1-1. Gabon licha ya kucheza pungufu kwa muda mwingi wa mchezo huo,wameonesha ushindani…