
FAINALI YA MAPINDUZI KUPIGWA LEO ZANZIBAR, NI VITA YA KISASI
USIKU wa leo Alhamisi saa 2:15 usiku, Uwanja wa Aman uliopo hapa Unguja, Zanzibar, utashuhudiwa mchezo mmoja wa fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Simba dhidi ya Azam. Simba wametinga fainali baada ya kuwatoa Namungo kwa kuwafunga mabao 2-0, huku Azam wakiwafunga Yanga kwa penalti 9-8 baada ya mechi kwenda dakika 90…