
SIMBA:TUNALITAKA KOMBE LA MAPINDUZI
BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba ameweka wazi kwamba wanahitaji kutwaa Kombe la Mapinduzi hivyo watapambana ili kufikia malengo hayo. Leo Januari 13, Uwanja wa Amaan, saa 2:15 inatarajiwa kuchezwa fainali kati ya Azam FC V Simba na mshindi wa mchezo huo atasepa na Kombe la Mapinudiz kwa mwaka 2022. Barbara amesema kuwa wanatambua ubora…