AMEWEKWA MTU KATI MWAMBA CHAMA
AMEWEKWA mtu kati mwamba wa Lusaka Clatous Chama akitajwa kuwa kwenye rada ya timu mbalimbali ambazo zinahitaji saini yake
AMEWEKWA mtu kati mwamba wa Lusaka Clatous Chama akitajwa kuwa kwenye rada ya timu mbalimbali ambazo zinahitaji saini yake
Staa wa Bongo Fleva, Stamina ‘Shorobwenzi’ amesema kifo cha Dairekta Khalfani ni pigo kubwa kwa sanaa ya muziki wa kizazi kipya kwani alikuwa ni mtu wa kutegemewa linapokuja suala la kushoot video za nyimbo za wasanii. Amesema kwa taarifa ambazo alikuwa anazijua, ni kwamba Dairekta Khalfan alianguka akiwa kazini na baadaye akapelekwa Hospitali ya Lugalo…
LIGI Kuu Tanzania Bara inazidi kushika kasi ikiwa ni mzunguko wa pili ambapo timu zinaendelea kupambania pointi tatu. Ipo wazi kwamba vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga ilisepa na pointi tatu kwenye mchezo wake Mei 5 2024 ubao uliposoma Mashujaa 0-1 Yanga bao likifungwa na Joseph Guede dakika ya 41 sasa inafikisha pointi 65. Mei…
Ukisikia Bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa ya Expanse iliyopo Meridianbet Kasino ya Mtandaoni unaweza kujishindia zawadi kibao, cha kufanya Jisajili Meridianbet kisha cheza shindano la Expanse ushinde. Mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni Expanse Studio anashirikiana na Meridianbet kuwaletea shindano kubwa la zawadi, mgao wa Mamilioni unakusubiri, kwa kucheza…
FT: LIGI Kuu Bara Uwanja wa Lake Tanganyika Mashujaa 0-1 Yanga Goal Joseph Guede dakika ya 41. Bao la Joseph Guede limedumu mpaka mwisho wa mchezo katika mzunguko wa pili msimu wa 2023/24. Yanga imekomba pointi tatu mazima nakufikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 25. Mashujaa wapo kazini Uwanja wa Lake Tanganyika kusaka pointi…
BENCHI la ufundi la Mashujaa limebainisha kwamba lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya vinara wa ligi ambao ni Yanga. Mchezo huo wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma kwa wababe wote wawili kusaka pointi tatu muhimu. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameweka kambi mji kasoro bahari, Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Azam FC imetoka kupata ushindi wa mabao 4-1 Namungo kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali CRDB Federation Cup inakutana na Mtibwa Sugar iliyowafungashia virago kwenye hatua…
Meridianbet Kasino Mtandaoni utapata fursa ya kufurahia mchezo uliochochewa na mandhari maarufu zaidi. Unaweza kufikiri ni nini? Bila shaka, ni kuhusu Misri ya kale. Pata bonasi zenye nguvu ambazo mafarao wanakuletea. Cobra Queen ama Malkia wa Nyoka ni Kasino Mtandaoni kutoka kwa muuzaji Red Tiger. Mchezo unuletea ugeuzaji wa alama zinazoshiriki katika mfululizo wa…
INAELEZWA kuwa kiungo mgumu ndani ya kikosi cha Simba Sadio Kanoute anaweza kusepa mwisho wa msimu kwa ajili ya kupata changamoto mpya kwenye timu nyingine.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo watakuwa kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Mashujaa Uwanja wa Lake Tanganyika. Ipo wazi kwamba Yanga ni namba moja kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 62 baada ya kucheza mechi 24. nafasi ya pili ni Azam FC wenye pointi 54 huku Simba wakiwa nafasi ya…
Leo hii viwanja mbalimbali vitawaka moto ambapo kila timu inaingia uwanjani kusaka pointi tatu za maana. Je wewe leo hii unamdhamini nani akupe pesa uamke vizuri siku ya kesho?. Ujerumani pia BUNDESLIGA kitawaka kama kawaida Union Berlin atakuwa mwenyeji wa VFL Bochum huku timu hizi zikiwa zimefatana sana kwenye msimamo wa ligi yani nafasi ya…
Muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania ‘Director Khalfani Khalmandro’ amefariki Dunia leo asubuhi Mai 5, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa zilieleza kuwa Khalfani alilazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, taasisi ya mifupa MOI akiwa na tatizo la damu kuvilia kwenye ubongo lililopelekea changamoto ya kupooza upande wake…
KWA upande wa wachezaji wa Simba viwango vyao kwa sasa ni maji kupwa maji kujaa, mchezaji anaweza kucheza mchezo wa leo vizuri kesho akawa katika kiwango cha chini. Miongoni mwa wachezaji hao ndani ya Simba ni Willy Onana, ukimtazama aliyecheza mchezo dhidi ya Namungo kisha ukamuona aliyecheza dhidi ya Mtibwa Sugar tofauti kabisa. Hii ni…
WABABE wanne ndani ya CRDB Federation Cup safari imekamilika tayari kwa kila timu kutambua mpinzani wake hatua ya nusu fainali. Yanga ni mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup walipenya hatua ya nusu fainali kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Yanga 3-0 Tabora United. Yanga hatua ya nusu fainali itakuwa dhidi ya Ihefu….
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga kituo kinachofuata ni dhidi ya Mashujaa ya Kigoma ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Yanga imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kwenye mchezo wa CRDB Federation, Yanga ilipata ushindi wa mabao 3-0…
MWAMBA Kibu Dennis kiungo mshambuliaji wa Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji saini yake ili kuongeza nguvu katika kikosi hicho kinachoongoza Ligi Kuu Bara.
Hii ni wikiendi ya kuokota maokoto na sehemu pekee ya kupata maokoto hayo ni pale kwenye nyumba ya mabingwa wa kubashiri kampuni ya Meridianbet kupitia michezo itakayokwenda kupigwa wikiendi hii. Ligi mbalimbali zitarejea leo Jumamosi na kumuwezesha mteja wa Meridianbet kufurahia wikiendi yake, Kwani mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamegawa ODDS KUBWA katika michezo…