MWAMBA KIBU DENNIS NA REKODI ZAKE
MWAMBA Kibu Dennis ndani ya kikosi cha Simba ni chaguo la kwanza kutokana na uwezo wake alionao katika kutimiza majukumu yake. Kwenye Ligi Kuu Bara amecheza jumla ya mechi 19 katupia bao moja ilikuwa kwenye Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga na katengeneza pasi tatu za mabao. Nyota huyo pia kwenye mchezo dhidi ya Ihefu uliochezwa…