
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji raia wa Cameroon ambaye yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Simba msimu ujao kutokana na safu yao ya ushambuliaji inayoongozwa na Meddie Kagere, John Bocco na Chris Mugalu kushindwa kuwa kwenye ubora.
WAKIWA Uwanja wa Jamhuri,Dodoma leo Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 Dodoma Jiji na kufanya waweze kusepa na pointi tatu. Ni mabao ya Dickosn Ambundo dk ya 11 na bao la pili lilifungwa na kipa wa Dodoma Jiji,Mohamed Yusuph dk ya 35 katika harakati za kuokoa mpira uliopigwa na Zawad Mauya jamo lililomfanya ajifunge….
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamekamilisha dk 45 za mwanzo wakiwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji, kwenye mchezo wa mzunguko wa pili. Kasi ilianza ndani ya dakika 10 za mwanzo ambapo presha ilikuwa kubwa na Yanga ikapachika bao la kuongoza dk ya 11 kupitia kwa Dickosn Ambundo. Winga huyo ambaye…
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji leo Mei 15,2022 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Kete ya Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi ipo namna hii:- Djigui Diarra Djuma Shaban Kibwana Shomari Bakari Mwamnyeto Dickson Job Zawad Mauya Sure Boy Jesus Moloko Ambundo Feisal Salum Mayele
BAADA ya msoto wa kuambulia sare kwenye mechi tatu mfululizo,wachezaji wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi wameweka wazi kwamba hawajapenda kupata sare. Yanga ilianza kuambulia sare mbele ya Simba ilikuwa Aprili 30 kisha ngoma ikawa Ruvu Shooting 0-0 Yanga na kigogo cha tatu ilikuwa ni Yanga 0-0 Tanzania Prisons. Aboutwalib Mshery,kipa…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba mshambuliaji wao Fiston Mayele kwa sasa hesabu zake ni kuweza kufunga mabao zaidi baada ya kukosa penalti mbele ya Tanzania Prisons. Ilikuwa Mei 9,2022 Uwanja wa Mkapa Mayele aliweza kukosa penalti hiyo kwenye mchezo wa ligi na ni penalti ya kwanza kwa Yanga kukosa. Fredrick Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa…
MOTO wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa timu kusaka ushindi ndani ya uwanja ikiwa ni mzunguko wa pili. Mbeya City watakuwa na kazi ya kuikabili Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine. Mtibwa Sugar watakuwa na kibarua mbele ya Coastal Union, Uwanja wa Manungu. Dodoma Jiji itamenyana na Yanga, Uwanja wa Jamhuri
LIGI Kuu Tanzania Bara leo Mei 15,2022 inaendelea ambapo vinara Yanga wanatarajiwa kumenyana na Dodoma Jiji. Wakiwa na pointi 57, Yanga watamenyana na Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 8 na pointi 28. Timu zote zimecheza mechi 23 hivyo utakuwa ni mchezo wao wa 24 ndani ya msimu wa 2021/22. Kocha Mkuu wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema…
LIKIWEKWA tuta,asilimia 98 wengi wanahesabu ngoma lazima ijae wavuni lakini kuna mastaa wengi ambao wamekwama kufanya hivyo kwenye uwanja. Kitete cha kutetema hakikuwa kwa Fiston Mayele tu msimu huu hata Meddie Kagere wa Simba alipata kitete cha kufunga. Rekodi zinaonyesha kwamba kitete cha penalti kipo kwa mastaa wa Simba ambao wamekosa penalti nyingi,hapa tunakuletea baadhi…
STAA wa kikosi cha Manchester United, Cristiano Ronaldo amesema kuwa kocha wao mpya, Eric ten Hag anahitaji muda na kuona anaacha alama ndani ya kikosi hicho. Ten Hag anatarajiwa kutua United msimu ujao baada ya kumaliza majukumu yake ndani ya Ajax ambayo imetwaa ubigwa wa Ligi Kuu ya Uholanzi msimu huu wa 2021/22. Wengi kwa…
KWA sasa gumzo kubwa kwenye Ligi Kuu Bara ni mshambuliaji George Mpole anayekipiga pale Geita Gold FC akiwa mzawa mwenye mabao mengi kwenye ligi msimu huu huku nafasi ya kutwaa kiatu cha ufungaji bora kwa upande wake ipo kwa asilimia 60 hadi sasa. Mpole amehusika kwenye mabao 15 ya Geita Gold ambapo hadi sasa amefunga…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
BERNARD Morrison kiungo wa Simba ambaye amepewa mapumziko mpaka msimu wa 2021/22 utakapokamilika ili akamilishe masuala yake ya kifamilia leo alikuwepo Uwanja wa Mkapa kushuhudia wachezaji wenzake wakipambana mbele ya Pamba katika mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali. Mchezo huu Simba ilishinda mabao 4-0 na inakwenda hatua ya nusu fainali kukutana na…
LIVERPOOL inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp imeweza kushinda taji la FA kwenye mchezo uliokuwa na mvutano mkubwa mwanzo mwisho. Ubao wa Uwanja wa Wembley baada ya dk 90 kukamilika ulisoma 0-0, zikaongezwa 30 ambazo nazo zilimalizika kwa matiokeo hayohayo. Liverpool wamelinyakua kombe hilo ikiwa ni mara ya pili mfululizo baada ya kulinyakua tena katika…
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho,Simba wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali baada ya kuweza kushinda mchezo wao leo mbele ya Pamba ya Mwanza. Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 4-0 Pamba baada ya dakika 90 za nguvu kukamilika kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Ni mabao ya Peter Banda dk 45,Kibu Dennis alitupia dk…
BEKI wa kushoto wa timu ya taifa ya Uganda, Mustafa Kiiza, ambaye amemalizana na Yanga, amewataja wachezaji Hamisi Kiiza na Khalid Aucho kuwa sababu ya yeye kushawishika kujiunga na klabu hiyo. Kiiza ambaye alikuwa akikipiga katika Klabu ya Montreal ya nchini Marekani, kwa sasa ni mali ya Yanga mara baada ya wakala wake kuthibitisha kuwa…