
DODOMA JIJI WAJA NA HESABU KALI KWELI
BAADA ya kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Yanga,mpango namba moja kwa Dodoma Jiji ni kuweza kushinda mechi zao ambazo zimebaki. Ikiwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma ilikubali kushuhudia mabao ya Dickosn Ambundo pamoja na la kipa wao Mohamed kujifunga jambo lililofanya wakapoteza pointi tatu mazima. Msemaji wa Dodoma Jiji, Moses Mpunga amesema wanamikakati mikubwa ya kuhakikisha…