
KUMALIZA TOP 4 KWA TOTTENHAM KUNAMTEGEMEA KANE
PAUL Merson kiungo wa zamani wa Arsenal amesema kuwa wapinzani wake wa zamani Tottenham Hotspur wana nafasi ya kumaliza ndani ya Top 4 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Nyota huyo ameweka wazi kuwa ikiwa mshambuliaji wa timu hiyo Harry Kane akiumia mambo yatakuwa ni magumu zaidi kwao. Ikumbukwe kwamba hata Arsenal inawania nafasi ya…