
SIMBA NDANI YA TANGA,MKWAKWANI KUKIWASHA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba baada ya kumaliza mchezo wao wa kimataifa dhidi ya USGN kituo kinachofuata ni Aprili 7 dhidi ya Coastal Union. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa Simba ilifanikiwa kuwatoa kimasomaso Watanzania na Afrika Mashariki kiujumla kwa kuweza kutimiza msemo wa ‘Kwa Mkapa Hatoki Mtu’. Mchezo huu wa Alhamisi…