VIDEO:SHABIKI SIMBA ALITAJA BENCHI LA UFUNDI,YANGA

SHABIKI wa Simba,Issa Azam amesema kuwa ushindi walioupata ni furaha kwao kwa kuwa walikuwa wanahesabu mabao tu mbele ya USGN huku wakirejesha shukrani kwa benchi la ufundi,wachezaji ambao waliweza kupata ushindi wa mabao 4-0.

Ameongeza kwa kusema Watanzania wote wanastahili shukrani kwa jambo ambalo walifanya usiku wa kuamkia leo Aprili 4,2022.