
MANCHESTER UNITED WAAMBIWA NGUMU KUWA TOP 4
GARY Neville, mchambuzi wa masuala ya michezo anaamini kwamba mbio za timu yake hiyo ya zamani kutinga top 4 ni ngumu baada ya kutoshana nguvu na Leicester City,Uwanja wa Old Trafford. Bao la Kelechi Iheanacho dk 63 kwa Leicester City kisha United waliweka usawa kupitia kwa Fred dk ya 66. Kwenye msimamo United ipo nafasi…