Home Sports MKWAKWANI, COASTAL UNION 0-1SIMBA,MAPUMZIKO

MKWAKWANI, COASTAL UNION 0-1SIMBA,MAPUMZIKO

Mapumziko, Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Coastal Union 0-1 Simba.

Bao la kuongoza kwa Simba limepachikwa na kiungo Bernard Morrison dk ya 40 baada ya beki wa Coastal Union kufanya makosa katika kupiga pasi kwenda mbele.

Coastal Union chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda imeweza kuotea mara mbili na wamepiga mashuti matatu ambayo yamelenga lango.

Simba wamepata faulo tatu ambazo wapigaji walikuwa ni Pascal Wawa, Bernard Morrison pamoja na Mohamed Hussein ambaye ni nahodha msaidizi wa Simba.

Previous articleKIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA COASTAL UNION
Next articleMKWAKWANI SIMBA WASHINDA MBELE YA COASTAL UNION USIKU