KIKOSI CHA SIMBA NDANI YA DAR

WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tayari wapo ndani ya jiji la Dar. Timu hiyo ilikuwa nchini Misri kwa ajili ya mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wa pili ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri ambao ni mabingwa watetezi. Ipo wazi kuwa timu zote…

Read More

SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KMC

BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa litaingia kwa tahadhari kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Simba ilitoka kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wao uliopita wa ligi ambapo mabao yalifungwa na Saido Ntibanozkia, Sadio anoute na John Bocco. Leo…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wote ni muhimu kuendelea kupambana kwenye mechi zote ili kuwapa burudani mashabiki na kupata matokeo chanya. Timu hiyo mchezo wake uliopita ilikomba pointi tatu mazima dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Dabo ameweka wazi kuwa bado wachezaji wanaonyesha…

Read More

KUMBE YANGA BADO INAJITAFUTA

BAADA ya Yanga kujikusanyia pointi 15 katika michezo mitano ya kwanza ya Ligi Kuu Bara msimu huu, kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi amewataka mashabiki wao wasiwe na hofu kwani huu ni mwanzo tu, mazuri zaidi yanakuja.   Yanga imekuwa kwenye kiwango bora msimu huu ambapo imefanikiwa kuweka rekodi ya kushinda mechi tano za mwanzo kwenye Ligi Kuu Bara kitu ambacho timu zingine zimeshindwa kufanya. Akizungumza na Spoti Xtra, Nabi alifichua kwamba, alitumia muda mrefu kuitengeza…

Read More

SIMBA:RS BERKANE WAMEKUJA WAKATI MBAYA,MUGALU AREJEA

AHMED Ally Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa wapinzani wao wamewakuta wakiwa kamili kutokana na wachezaji wote kuwa tayari kwa mchezo huo. Simba itamenyana na RS Berkane ya Morocco katika mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 13. Ally amesema:”Taarifa ya awali kuhusu majeruhi ni kuwa Hassan Dilunga…

Read More

WAKULIMA WAZABIBU WAFUNGA MWAKA KWA USHINDI

DODOMA Jiji waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kufungia mwaka 2022. Ni mabao ya Mwaterema dakika ya 24 na Opare dakika ya 66 yalitosha kuzamisha jahazi la Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwenye mechi za nyumbani. Ushindi huo unaifanya Dodoma Jiji kufikisha pointi 21 ikiwa nafasi ya…

Read More

MASTAA SIMBA WAPEWA KAZI KUBWA KIMATAIFA

KUELEKEA kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas nyota wa Simba wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapata matokeo chanya kwenye mchezo huo. Ipo wazi kuwa katika mechi mbili zilizopita za ligi wachezaji wa Simba walipata matokeo yenye maumivu. Katika mchezo wa Kariakoo Dabi Novemba 5 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga…

Read More

MAN CITY KUMNG’OA SAKA ARSENAL

Manchester, England MABINGWA wa Ligi Kuu England, Manchester City wametajwa kuwa wanafuatilia kwa karibu mustakabali wa staa wa Arsenal, Bukayo Saka katika kipindi cha miaka miwili ya mwisho ya mkataba wake ili kuona uwezekano wa kumng’oa mchezaji huyo kutoka Emirates. Inaelezwa kuwa City pamoja na wapinzani wao wakubwa Liverpool wote wanamtazama staa huyo wa Arsenal…

Read More

HUKUMU YA MORRISON NA CAS KUTOLEWA

TAREHE ambayo hukumu ya kesi kati ya klabu ya Yanga na mchezaji Bernard Morrison ilikuwa imepangwa, imesogezwa tena mbele hivyo inatarajiwa kutolewa Novemba 23, mwaka huu. Wakili wa Yanga, Alex Mgongolwa ametoa ufafanuzi kuwa hukumu hiyo itatolewa siku yoyote kuanzia sasa mpaka Novemba 23, kwa mujibu wa taarifa waliyopewa na CAS.   Mahakama hiyo ya…

Read More

WIKI YA MWANANCHI KUANZA AGOSTI MOSI

WIKI ya Mwananchi itaanza rasmi Agosti Mosi mwaka huu wa 2022 ambapo wanatarajia kucheza mchezo na timu ya kimataifa Uwanja wa Mkapa. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amebainisha kwamba kambi ya maandalizi kwa msimu wa 2022/23 inatarajiwa kuanza kesho Julai 20,2022 Kigamboni. “Tutafanya kambi yetu Kigamboni ambapo kuna eneo zuri na…

Read More

CONTE KUSAINI DILI JIPYA LEO TOTTENHAM

ANTONIO Conte anatarajiwa kusaini dili jipya leo Jumanne ili kuweza kuwa Kocha Mkuu wa Tottenham. Conte anakwenda kuchukua mikoba ya Nuno Espirito ambaye alichimbishwa mazima jana Novemba Mosi. Espirito alifungashiwa virago kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo ambapo kwenye mechi zake sita za Ligi Kuu England alipoteza mechi nne. Kichapo cha mabao 3-0 dhidi…

Read More

SIMBA YAREJEA KAMBINI KUIVUTIA KASI POWER DYNAMO

BAADA ya kukamilisha mechi mbili za Ligi Kuu Bara na kukomba pointi sita jumlajuma, tayari wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi wamerejea kambini. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga chini ya kocha Miguel Gamondi. Yanga imeanza kwa kasi msimu wa 2023/24 sawa na Simba ambao ni watani zao wa jadi wote…

Read More

BABA SURE BOY AFUNGUKIA ISHU YA MWANAE KUCHEZA YANGA

BABA mzazi wa kiungo wa Azam FC, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’, mzee Aboubakar Salum ‘Sure Boy Sr’ amewekawazi kuwa mtoto wake yupo mbioni kumalizana na mabosi wa Yanga baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuvunja mkataba wa mchezaji huyo na Azam FC kutokana na mgogoro uliokuwepo. Kiungo huyo ni miongoni mwa wachezaji watatu wa Azam FC waliosimamishwa kwa utovu wanidhamu. Wengine ni Agrey Morris na Mudathir Yahya.  …

Read More