Home Sports KIKOSI CHA SIMBA NDANI YA DAR

KIKOSI CHA SIMBA NDANI YA DAR

WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tayari wapo ndani ya jiji la Dar.

Timu hiyo ilikuwa nchini Misri kwa ajili ya mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezo wa pili ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri ambao ni mabingwa watetezi.

Ipo wazi kuwa timu zote mbili za Tanzania zimegotea kwenye hatua ya robo fainali ikiwa ni pamoja na Yanga iliyoondolewa na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Previous articleAZIZ KI: SINA MATARAJIO YA KUONDOKA YANGA KWA SASA
Next articleIngia Baharini Vua Samaki Ushinde Maokoto na Fishtastic Kasino