HAPA BAYERN MUNICH DHIDI YA REAL MADRID KULE BORUSSIA DORTMUND DHIDI YA PSG USIKU WA ULAYA NGOMA INOGILE
Viwanja viwili barani ulaya vitawaka moto ndani ya wiki ambapo vitatumika kwenye nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya siku ya Jumanne leo na siku ya Jumatano ambayo ni kesho. Leo kiwanja ambacho kitaanza kuwaka moto ni Allianz Arena ambapo wenyeji Bayern Munich watawakaribisha klabu ya Real Madrid, Ambapo hapo kesho Signal Iduna Park kutawaka…