Home Sports AIR MANULA NI MNYAMA MPAKA 2025

AIR MANULA NI MNYAMA MPAKA 2025

 KIPA namba moja ndani ya kikosi cha Simba, Aishi Manula ameongeza kandarasi ya miaka mitatu kuweza kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo.

Awali nyota huyo alikuwa anatajwa kuingia anga za Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na kulikuwa na mazungumzo na timu mbalimli.

Kipa huyo ni chaguo la kwanza ndani ya Simba ambapo kwa sasa yupo kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo inajiandaa kufuzu CHAN.

Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Simba leo Julai 20,2022 imeeleza kuwa Manula bado yupo ndani ya Simba kwa msimu mitatu mpaka 2025.

Previous articleSAUTI:SIMBA KUFUNGA USAJILI NA MASTAA HAWA WATATU
Next articleAZAM FC YAFUNGA USAJILI NA BEKI WA KAZI