
KAGERE,MUGALU WAFUNGIWA KAZI SIMBA
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema wanayafanyia kazi makosa ya wachezaji wao ikiwa ni pamoja na tatizo la umaliziaji wa nafasi wanazozipata. Wakati Simba ikishinda 1-2 dhidi ya Coastal Union Alhamisi wiki hii, wachezaji wa timu hiyo walikosa nafasi 10 za kufunga akiwemo Chris Mugalu, Meddie Kagere, Bernard Morrison na Clatous Chama. Mabingwa hao…