
ZLATAN BADO YUYUPO AC MILAN
NYOTA wa Klabu ya AC Milan,Zlatan Ibrahimovic anatarajiwa kuendelea kutumika ndani ya kikosi hicho kwa msimu mwingine tena kwa mujibu wa taarifa. Nyota huyo mwenye miaka 40 alifanyiwa upasuaji wa goti Mei 25 mwaka huu na anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita. Staa huyo msimu wa 2021/22 licha ya majeraha ya…