
TIMU YA WANAWAKE KILIMANJARO KESHO INAANZA KAZI
TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Queens’kesho inatarajia kutupa kete yake ya kwanza mbele ya Sudan Kusini. Ni kwenye mchezo wa mashindano ya CECAFA wanawake,ambayo imeanza kutimua vumbi leo Juni,Mosi 2022 nchini Uganda. Pia Waamuzi wa Tanzania Florentina Zablon, Janeth Balama, Tatu Nuru nao pia wapo kwenye orodha ya waamuzi ambao watachezesha…