
KUMUONA GEORGE MPOLE,SAMATTA BUKU 3
BAADA ya kupata sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Niger nchini Benin sasa hesabu za timu ya Taifa ya Tanzania ni kuelekea kwenye mchezo ujao dhidi ya Algeria unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Juni 8, mashabiki wajitokeze kwa wingi kwani huu ni mchezo muhimu kwetu na ushindi wetu ni furaha…