
SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA AZAM FC
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa kesho Mei 18 Uwanja wa Azam Complex. Azam FC imetoka kupoteza mchezo wake wa ligi mbele ya Mbeya City kwa kufungwa mabao 2-1 Uwanja wa Sokoine, Mbeya, inakwenda kukutana na…