
TEN HAG ATUMIWA UJUMBE NA RONALDO
STAA wa kikosi cha Manchester United, Cristiano Ronaldo amesema kuwa kocha wao mpya, Eric ten Hag anahitaji muda na kuona anaacha alama ndani ya kikosi hicho. Ten Hag anatarajiwa kutua United msimu ujao baada ya kumaliza majukumu yake ndani ya Ajax ambayo imetwaa ubigwa wa Ligi Kuu ya Uholanzi msimu huu wa 2021/22. Wengi kwa…