
ISHU YA MORRISON KUIBUKIA YANGA,SIMBA WATOA TAMKO
BERNARD Morrison kiungo wa kikosi cha Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za kurejea ndani ya kikosi cha Yanga ambacho alicheza hapo kabla ya kujiunga na mabingwa hao watetezi. Morrison kwa hivi karibuni amekuwa nje ya uwanja kwa muda huku Kocha Mkuu, Pablo Franco akibainisha kwamba ambacho kinamuweka nje nyota huyo ni majeruhi. Mkataba wake unatarajia…