
MRITHI WA PABLO APEWA MASHARTI MAZITO
IKIWA kwa sasa Simba wanasaka nafasi ya mrithi wa Pablo Franco aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, mabosi wa timu hiyo wamebainisha kwamba kocha ajaye lazima awe na ubora na akubali kufanya vizuri kimataifa. Pablo alifutwa kazi Simba Mei 31, mwaka huu na mafanikio yake makubwa ilikuwa ni kutwaa Kombe la Mapinduzi na kutinga robo…