WIKI YA MWANANCHI NI LEO UWANJA WA MKAPA
AGOSTI 6,2022 leo ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambayo ilikuwa imeambatana na matukio ya kurejesha kwa jamii. Pitso Mosimane kocha mwenye uzoefu na mechi za kimataifa Afrika ambaye ni raia wa Afrika Kusini ni miongoni mwa watakaoshudia mchezo wa kimataifa wa kirafiki wa Yanga inayonolewa na Nasreddine Nabi dhidi ya Vipers FC ya Uganda….