JONAS MKUDE NI MKALI WAO SIMBA,ANASTAHILI PONGEZI KIDOGO
KWENYE tamasha la leo la Simba Day ambalo linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa kwa mastaa wa Simba kuna Legend mmoja anaitwa Jonas Mkude. Kiungo huyo anastahili heshima kutokana na kudumu ndani ya kikosi hicho kwa muda mrefu akiwa ni mchezaji pekee ambaye amedumu hapo tangu alipopandisha msimu wa 2011/12 kutoka Simba B. Mastaa wengine wote…