PSG WAANZA MSIMU KWA TAJI
PARIS Saint Germain,(PSG) wamefanikiwa kufungua msimu wa 2022/23 kwa kutwaa taji la Trophee des Champions ambapo Lionel Mess,Neymar Jr na Sergio Ramos waliweza kufanya kweli. PSG waliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nantes kwenye mchezo uliokuwa ni wa ufunguzi wa msimu mpya wa 2022/23. Kwenye mchezo huo mabao ya PSG yalifungwa na Messi…