
MPANGO WA YANGA NI KUJA KIVINGINE MSIMU UJAO
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa msimu ujao watakuja kwa sura mpya kwenye mashindano ambayo watashiriki pamoja na ligi kwa kufanya usajili makini. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 64 baada ya kucheza mechi 26. Manara amesema kuwa wanatambua ushindani utakuwa mkubwa hivyo nao watakuja…