ADHABU KUMUHUSU MCHEZAJI WA YANGA ATAKAYEZUNGUMZIA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Mohamed Nabi amesema amewapiga marufuku wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo kuzungumzia matokeo mabovu ya mahasimu wao Simba ambayo wamekuwa wakiyapata katika mechi zao za hivi karibuni na badala yake wajikite katika michezo yao na kuhakikisha wanashinda. “Nimewaambia wachezaji sitaki kusikia hata wanazungumza ishu za Simba kwani…