RATIBA YA SIMBA FEBRUARI NI NGUMU KWELIKWELI
WACHEZAJI wa Simba wanaratiba ngumu kwelikweli ndani ya mwezi huu mpya wa Februari katika kusaka matokeo kutokana na ratiba kwao kuwa mwendo wa bandika bandua. Mabingwa hao watetezi wakiwa nafasi ya pili na pointi zao 25 kesho Februari 03 wanakazi ya kuanza kusaka ushindi mbele ya Wajelajela, Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa. Simba inakumbuka kwamba…