FAINALI YA MANE V SALAH LEO AFCON
LEO Jumapili michuano ya AFCON 2021 inatarajiwa kufika tamati baada ya kuchezwa kwa siku 28 kuanzia Januari 8,2022 huku wengi wakitarajia kuona mchezo mzuri ndani ya dakika 90 nchini Cameroon. Timu 24 zilianza hatua ya makundi hadi leo zimebaki mbili ambazo zitacheza fainali kusaka bingwa baada ya wenyeji Camroon kupata ushindi kwa penalti mbele ya…