
NBC YATAMBULISHA KOMBE JIPYA LA LIGI KUU BARA
MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo ametambulisha Kombe Jipya atakalopewa Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2021/2022. Akiongea wakati wa uzinduzi huo Kasongo amewashukuru wanahabari na wadau wote wa mpira kwa michango yao katika kukuza soka la nchi hii, lakini pia namna ambavyo wanauongelea mpira wa nchi pamoja na changamoto…