BUGATTI LA RONALDO LAPATA AJALI

MOJA ya magari mawili ya kifahari ambayo, Cristiano Ronaldo alikuwa ameyasafirishwa kwenda Mallorca nchini Hispania kwa ajili ya likizo ya familia yake majira ya kiangazi aina ya Bugatti Veyron limehusika katika ajali baada ya kugonga ukuta nchini Hispania. Gari hilo ambalo lina thamani ya pauni milioni 1.7 linadaiwa kupata ajali asubuhi ya kuamkia jana katika…

Read More

ARSENAL YAKOMAA NA JESUS MCHEZAJI WA MAN CITY

MAWAKALA wa Straika wa Manchester City, Gabriel Jesus wamesafiri mpaka nchini Uingereza kwa ajili ya kuhakikisha wanakamilisha dili la straika huyo ambaye anatajwa kutua ndani ya Arsenal kutokea Manchester City.   Mabingwa hao wa Premier wanataka pauni milioni 50 kwa Jesus, huku wakitarajia kurejesha fedha hiyo ili kufidia matumizi yao kwa, Kalvin Phillips wa Leeds…

Read More

MAN UNITED KUITIBULIA ARSENAL KWA RAPHINHA

UWEZO mkubwa aliouonyesha staa wa Leeds United, Raphinha kwa kuisaidia timu hiyo kusalia ndani ya Ligi Kuu England imezivutia klabu za Tottenham, Liverpool na Manchester United ambao sasa wameingia katika mbio hizo dhidi ya Arsenal ambayo tayari imetenga dau la pauni milioni 50. Mbrazil huyo alikuwa kinara wa mabao ndani ya kikosi cha Leeds msimu…

Read More

BEKI KATILI AFUNGUKA KUTUA SIMBA

BEKI wa zamani wa Chipa United, Frederic Nsabiyumva raia wa Burundi ‘Beki Katili’ ameweka wazi kwa kusema ataweka wazi ujio wake ndani ya Simba baada ya kukamilisha kila kitu kwa kuwa mambo yake anapenda kuyafanya kwa usiri mkubwa. Nsabiyumva ambaye aliachwa na Chipa United ya Afrika Kusini, kwa sasa bado anafanya mazoezi na timu ya…

Read More

YANGA MAFIA… STRAIKA WA MABAO AWAZIMIA SIMU SIMBA

INARIPOTIWA kuwa straika, Cesar Manzoki raia wa Afrika Kati mwenye uraia wa DR Congo amewafanyia umafia wa kutisha mabosi wa Simba ikiwa ni muda mchache kabla ya kutua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusaini mkataba na badala yake akaelekea DR Congo huku mabosi wa Yanga wakitajwa kwenye umafia huo. Manzoki ambaye ana uwezo…

Read More

YANGA YAFUNGUKIA USAJILI WA AZIZ KI

CEDRICK Kaze Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa hakuna mwalimu ambaye hatapenda kuwa na mchezaji kama Aziz KI kwa kuwa ni miongoni wa wachezaji wazuri. Nyota huyo anatajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Klabu ya ASEC Mimosas ambapo alikuwa anatajwa pia kwenye rada za Simba. Kaze amesema kuwa suala la usajili lipo mikononi…

Read More

MASTAA HAWA WAWILI YANGA KUIKOSA POLISI TANZANIA

 KUELEKEA mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Polisi Tanzania kuna nyota wawili wa Yanga ambao wanaweza kuukosa mchezo huo. Yanga ni mabingwa wa ligi msimu wa 2021/22 wakiwavua taji hilo watani zao wa jadi Simba. Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedrick kaze amesema kuwa wanatambua mchezo huo…

Read More

SIMBA NOMA YATUMIA UJANJA KUMNASA KIUNGO FUNDI

UNAAMBIWA pamoja na Wydad Casablanca na Raja Casablanca zote za Morocco kuhitaji saini ya kiungo raia wa Guinea, Morlaye Sylla, Simba SC imetumia ujanja wa kwenda kuzungumza na familia ya nyota huyo. Sylla msimu huu amekichakaza vilivyo ndani ya kikosi cha Horoya AC ya Guinea, ambayo alijiunga nayo Julai Mosi 2019, kwa mkataba wa miaka…

Read More

KOCHA MPYA SIMBA ATUA NA MAJEMBE MATATU YA KAZI

UNAAMBIWA mchakato wa kupitia wasifu wa kumpata Kocha Mkuu wa Simba atakayerithi mikoba ya Pablo Franco, umekamilika na kwamba, kocha ajaye muda si mrefu atatangazwa kikosini hapo. Hadi kufikia jana, kulikuwa na makocha wawili ambao walikuwa wakiangaliwa kwa mara ya mwisho ili mmoja kupitishwa akiwemo kocha wa zamani wa RS Berkane ya Morocco raia nchi…

Read More

USAJILI WA KIUNGO MNIGERIA SIMBA KAMA MUVI

NI kama muvi! Ndivyo utakavyoweza kusema baada ya Simba kuwazidi ujanja Azam FC katika usajili wa kiungo mkabaji wa Coastal Union, Victor Akpan na kumpa mkataba wa miaka miwili. Timu hizo mbili zilikuwa katika vita kubwa ya kuwania saini ya kiungo huyo raia wa Nigeria aliyekuwa anawaniwa vikali na Azam katika kuimarisha safu yao ya…

Read More

TULIA AIPA TANO TASWA FC,M-BET WATOA NENO

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson ameipongeza timu ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini (Taswa SC) na Bunge SC kwa kupromoti michezo kwa kuonyesha mfano kwa vitendo kwa kucheza katika mechi mbalimbali. Spika Ackson amesema hayo wakati wa mechi maalum ya kirafiki kati ya Taswa SC na Bunge SC…

Read More