
MAYELE: KAZI MOJA NIMEMALIZA, BADO NYINGINE
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Kalala Mayele, amesema kuwa baada ya kumaliza zoezi lake la kwanza la kuipa ubingwa timu hiyo, kwa sasa anatafuta zoezi lake la pili la kuhakikisha kuwa anakuwa mfungaji bora mbele ya George Mpole wa Geita Gold ambaye wanafukuzana naye. Mayele na Mpole wote kwa sasa wamelingana katika kugombea tuzo ya ufungaji…